Friday

Beyonc`ee Afunga Mwaka na Dili NoNo!!

         Mwanamuziki machachari toka pande za mr. Obby`Obama huko Marekani Beyonc`e Knowles,ameingia mkataba mnono na kampuni ya kinywaji cha pepsi kwa malipo ya $50mil za kimarekani hivi karibuni.
     Hata hivyo pepsi pia itamwaga pesa katika investments zote za Beyonc`e bila kujali uhusiano na kampuni ya pepsi,,,,,

        Beyon`ce amekuwa akiingia mikataba na kampuni mbalimbali ikiwemo pepsi ambapo kwa mara nyingine tena imeamua kufanya nae mkataba ambao unasemekana kuwa mnono zaidi.Hakika dili hili ni funga mwaka kwa mwanamama huyu na familia yake.Big uP sana Beyonc`e  a.k.a mama BlUe Eve!

0 comments:

Post a Comment